Pai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Pi - namba ya duara. Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:47, 17 Juni 2014

Pi - namba ya duara.

Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia. Imejulikana hasa kama namba ya duara kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....

22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Wanahisabati duniani husheherekea sikukuu ya Pi tarehe 14 Machi au pia 22 Julai.