Vipimo sanifu vya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 107 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q12457 (translate me)
+viambishi awali
Mstari 4: Mstari 4:


[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.
[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.

Kwa ajili ya uwingi au sehemu ya vipimo hivi kuna mfuno wa kutumia [[viambishi awali vya vipimo sanifu]] vya SI.


[[Jamii:Vipimo]]
[[Jamii:Vipimo]]

Pitio la 10:29, 14 Juni 2014

Vipimo sanifu vya kimataifa (Kifar.: Système International d'unités; kifupi chake: SI) ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na vizio vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo.

Msingi wa utaratibu huu ni mita. Vizio vingine ni vya urefu (mita), masi (kilogramu), wakati (sekondi), mkondo wa umeme (ampea), halijoto (kelvini), kanieneo (paskali), kiasi cha dutu (moli), mwangaza au ukalifu nunurikaji (kandela).

Vipimo hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.

Kwa ajili ya uwingi au sehemu ya vipimo hivi kuna mfuno wa kutumia viambishi awali vya vipimo sanifu vya SI.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA