Ikulu ya Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
+viungo
d Kipala alihamisha ukurasa wa Ikulu hadi Ikulu ya Tanzania
(Hakuna tofauti)

Pitio la 22:00, 8 Juni 2014

Ikulu (State House) ya nchi ya Tanzania lijengwa kwa namna ya kipekee na Wajerumani mwaka 1891 na gavana wa kijerumani Julius von Soden na kutumika kama ngome ya gavana. Iliharibiwa wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia. Baada ya vita ya kwanza ya Dunia Tanganyika ilikuwa chini ya utawala wa kikoloni wa Waingereza na hapo ngome hiyo (state house) iliitwa Government House na ilijengwa tena mwaka 1922 ambapo gavana wa Kiingereza Sir Horace Bytt alipochukua utawala. Majengo hayo yamejengwa kwa ubora wa pekee na ni ya kihistoria kwani yalikuwa ni Ngome za magavana.

Ikulu ilijengwa mahususi eneo la magogoni kuweza kusaidia