96,375
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
Ndiye aliyemuongoa na kumbatiza [[Agostino wa Hippo]]
Kati ya mambo ya pekee aliyoacha ni urithi wa tenzi na [[liturujia]] ya pekee inayoendelea kutumika Milano na sehemu nyingine kadhaa za Italia kaskazini na [[Uswisi]] ("liturujia ya Kiambrosi").▼
Tangu zamani anaheshimiwa kama [[mtakatifu]] na [[babu wa Kanisa]].
== Maisha ==
=== Mwanasiasa ===
Ambrosi alizaliwa mwaka 340 hivi katika [[familia]] ya [[Ukristo|Kikristo]] ya [[Dola la Roma]]
Baba yake, aliyeitwa Ambrosius Aurelianus, alikuwa [[liwali]] wa [[Gallia]] (leo [[Ufaransa]]); mama yake alijulikana kwa akili na imani yake. Ndugu zake, [[Satiro]] na [[Marselina]] wanaheshimiwa pia kama watakatifu.
Ambrosi aliendelea na ugavana hadi mwaka [[374]] alipochaguliwa askofu wa Milano.
Ni kwamba, baada ya kifo cha askofu [[
Alipewa mara [[ubatizo]], [[kipaimara]] na [[ekaristi]], halafu baada ya wiki moja [[daraja takatifu]] ya [[uaskofu]] (tarehe 7 Desemba, ambayo imekuwa sikukuu yake hadi leo) akatoa kwa [[Kanisa]] na ma[[fukara]] [[dhahabu]] na [[fedha]] zake zote.
Augustino aliandika kwamba kila alipokwenda kumuona Ambrosi alimkuta amefikiwa na [[umati]] wa watu wenye [[shida]] mbalimbali, ambao alijitahidi kwa kila namna kuwasaidia. Kila mara kulikuwa na [[foleni]] ndefu ikisubiri kuongea naye ili kupata [[faraja]] na [[tumaini]]. Akibaki kidogo peke yake, alilisha au [[mwili]] kwa kula au [[roho]] kwa kusoma.
Mwenye [[nguvu]] na [[udumifu]], pamoja na [[kipawa]] cha kuhisi nini inawezekanika, aliweza kuongoza [[dayosisi|jimbo]] vizuri ajabu kama [[mchungaji]] halisi, mwenye msimamo na [[busara]], na hasa [[wema]] na [[upendo]]. Hivyo hakufukuza [[wakleri]] waliofuata mafundisho ya [[Ario]].
Mwaka [[378]] alikutana na [[
Mwaka uliofuata wote wawili walishiriki [[Mtaguso wa Aquileia]] ili kuimarisha [[imani sahihi]] katika [[dola]].
Baada ya Grasyano kuuawa ([[383]]), ilimbidi Ambrosi azidi kupambana na wafuasi wa Ario, mmojawao akiwa [[
Kadiri ya Augustino, aliyeguswa sana na [[umoja]] huo, ndiyo mwanzo wa nyimbo za Ambrosi: “Umati wenye [[imani]] ulikesha, ukiwa tayari kufa pamoja na askofu wao… Sisi pia, ingawa [[vuguvugu]] kiroho, tulishiriki katika [[mhemko]] wa wote”..
Ikulu haikupendezwa na msimamo wa Ambrosi, lakini ilimuogopa na kumhitaji katika mapambano ya siasa. Mahusiano yaliendelea kuwa magumu.
Hatimaye [[Theodosius I]],
Mtetezi wa wale wote
Msimamo wake ulibaki kielelezo kwa [[Kanisa la
Ambrosi alipaswa pia kupambana na [[Wapagani]] waliotaka kufanya tena [[dini]] ya jadi kuwa [[dini rasmi]] ya [[Dola la Roma]] badala ya Ukristo. Alifaulu kumfanya Theodosius I atoe hati zake maarufu za mwaka [[391]].
Mtume wa upendo, alisaidia yeyote aliyemkimbilia, hata akauza [[vyombo vya ibada]] ili kukomboa [[watumwa]], akisema, “Ikiwa Kanisa lina dhahabu, si kwa ajili ya kuitunza, bali ili liwape wanaohitaji”.
▲Kati ya mambo ya pekee aliyoacha ni urithi wa tenzi na [[liturujia]] ya pekee inayoendelea kutumika Milano na sehemu nyingine kadhaa za Italia kaskazini na [[Uswisi]] ("liturujia ya Kiambrosi").
Tarehe 4 Aprili, siku ya [[Ijumaa Kuu]], Ambrosi alifariki huku amenyosha mikono yake kama Yesu msalabani, akaheshimika mara kama mtakatifu.
==Maandishi na teolojia yake==
Ambrosi aliandika sana,
Kwa jumla maandishi yake ni ya kichungaji kuliko ya kinadharia, pia kutokana na jinsi alivyopata uaskofu ghafla. Alijaribu kuziba pengo la ujuzi wa ki[[teolojia]], lakini bila mafanikio makubwa. Ndiyo sababu anategemea sana [[babu wa Kanisa|mababu]] waliomtangulia.
Kuhusu [[Kristo]], anatofautisha ndani yake hali mbili ([[umungu]] na [[utu]]) na vilevile [[utashi]] wa Kimungu na ule wa kibinadamu. Alikuwa hachoki kusema, “Kwetu Kristo ni kila kitu!” akifafanua, “Ukiwa na [[donda]] linalohitaji
Kuhusu [[ukombozi]], alidhani [[kifo]] cha [[Yesu]] kilikuwa gharama iliyolipwa kwa [[shetani]] ili kuokoa watu.
|