Wikipedia:Mwongozo (Kujisajili) : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=9}} |
{{Wikipedia:Tutorial/TabsHeader|This=9}} |
||
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000"> |
<div style="border:2px solid #A3B1BF; padding:.5em 1em 1em 1em; border-top:none; background-color:#fff; color:#000"> |
||
[[Picha:Kujisajili 1.png|thumbnail|450px|Bofya hapa - kona ya juu upande wa kulia]] |
|||
[[Picha:Kujisajili.png|thumbnail|350px|'''Dirisha unaloona ukibofya "Create account / Kujisajili"''']] |
|||
==Kujisajili kama mtumiaji== |
==Kujisajili kama mtumiaji== |
||
Pitio la 09:21, 22 Mei 2014
Utangulizi | Kuhariri | Kuanzisha Makala | Muundo | Viungo vya Wikipedia | Kutaja vyanzo | Kurasa za majadiliano | Kumbuka | Kujisajili |
Kujisajili kama mtumiaji
Kila mtu anaweza kuchangia kwenye wikipedia hata bila kujiandikisha.
1. Faida za kujisajili
Lakini kujisajili kunaleta nafasi za nyongeza na faida hasa ukichangia mara kwa mara.
- unapata nafasi zaidi za kuhariri, kwa mfano kama ukurasa umehifadhiwa
- unapata ukurasa wa "Maangalizi yangu" unaosaidia kutazama makala unazopenda kufuatilia.
- unaweza kuhamisha kurasa (lakini kumbuka sheria zake)
- Ni rahisi kutambuliwa na kuhshimiwa na wengine kwa sababu wanakujua kutokana na michango yako
- Wengine wanaweza kuwasiliana nawe kwenye ukurasa wako wa majaidiliano
2. Kufungua akaunti
- Hatua ya kwanza ni kubofya kwenye kona ya juu na baadaye tena kwa "kujisajili".
- Kwa usalama wa wikipedia ni lazima kutaipu herufi zinazoonyehswa katika dirisha dogo chini yake.
- Sasa unaingiza jina (jinsi unavyochagua) na nywila (neno lako la siri) mara mbili.
- anwani pepo si lazima; inasaidia kama unapenda kuwasiliana na watumiaji wengine kwa njia hiyo. Unaweza kuiacha na kuonmgeza baadaye.
- Mwishoni unabofya chini "sajili akaunti"
- Kama jina ulilochagua limeshachukuliwa na mwingine au kama umekosea kutaipu neno la siri mara mbili unaona dirisha unapaswa kuanza upya.
3. Kuingia
- Ukiwa mwenye akaunti na jian la wikipedia unaweza kuingia kila safari unapofungua wikipedia.
- Unabofya tena kwenye kona ya juu utapata dirisha la "Ingia".
- Sasa unaona viungo vipya kwenye mstari wa juu kabisa kama vile
- Jina lako - inafungua ukurasa wako wa binafsi
- Majadiliano yangu - inafungua majadiliano kwenye ukurasa wako
- Mapendekezo yangu - hapa unaweza kubadilisha kuonekana kwa kurasa zako
- Maangalizi yangu - inaonyesha orodha ya makala uliyochagua kuyatazama mabadiliko yao
- Michango yangu - inakupa orodha ya michango yote uliyofanya kwenye wikipedia
- Toka - ukipenda kutoka kwa safari hii - baada ya kuboya hupo tena kwa jina hadi kuingia tena