Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
citation added
+ simu ya mkononi
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu]]
[[Picha:Alt Telefon.jpg|right|thumbnail|Simu ya zamani]]
[[Picha:Nokia1100 new.jpg|thumbnail|Simu ya mkononi]]
'''Simu''' ''(kutoka [[kar.]] <big>سیم</big> sim inayomaanisha "waya")'' ni chombo cha [[umeme]]. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha [[mawasilianoanga]]. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia [[redio]]. Hii nayo inaitwa [[nyayatupu]], [[siwaya]] au [[simu bila waya]].

Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na [[Alexander Graham Bell]].<ref name="WDL">{{cite web |url = http://www.wdl.org/en/item/11375/ |title = Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 |website = [[World Digital Library]] |date = 1875-1876 |accessdate = 2013-07-23 }}</ref> Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama [[Uskoti|Muuskoti]]. Lakini [[Antonio Meucci]] alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani.

historia ya simu haijaingizwa.
Tangu mwisho wa karne ya 20 kuna aina mpya ya simu ilienea abayo ni [[simu ya mkononi]]. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya mtambo wa mawasiliano uliosambaa haraka sana. Katika nchi nyingi za Afrika simu hizi zina faida ya kwamba zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za Posta hazifikii.

{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

Pitio la 13:53, 21 Mei 2014

Simu ya zamani
Simu ya mkononi

Simu (kutoka kar. سیم sim inayomaanisha "waya") ni chombo cha umeme. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha mawasilianoanga. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia redio. Hii nayo inaitwa nyayatupu, siwaya au simu bila waya.

Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na Alexander Graham Bell.[1] Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama Muuskoti. Lakini Antonio Meucci alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani.

Tangu mwisho wa karne ya 20 kuna aina mpya ya simu ilienea abayo ni simu ya mkononi. Ingawa haistahili kweli kuitwa tena "simu" kwa maana asilia kwa sababu hakuna simu ni aina ya mtambo wa mawasiliano uliosambaa haraka sana. Katika nchi nyingi za Afrika simu hizi zina faida ya kwamba zinaruhusu mawasiliano hata pale ambako nyaya za Posta hazifikii.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo

  1. Alexander Graham Bell Laboratory Notebook, 1875-1876 (1875-1876). Iliwekwa mnamo 2013-07-23.

Viunganish vya nje