Kisamba-Leko : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kisamba-Leko''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Nigeria]] inayozungumzwa na [[Wasamba-Leko]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Kamerun]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko kiko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
'''Kisamba-Leko''' ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Nigeria]] inayozungumzwa na [[Wasamba-Leko]]. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Kamerun]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 14:57, 17 Mei 2014

Kisamba-Leko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wasamba-Leko. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamba-Leko nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamba-Leko iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamba-Leko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.