Kilamnso' : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kilamnso' '''ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Kamerun]] inayozungumzwa na [[Walamnso']]. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kilamnso' imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Nigeria]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamnso' kiko katika kundi la ''Grassfields'' ambalo linafanana na [[lugha za Kibantu]].
'''Kilamnso' '''ni [[Lugha za Kiniger-Kongo|lugha ya Kiniger-Kongo]] nchini [[Kamerun]] inayozungumzwa na [[Walamnso']]. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kilamnso' imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji nchini [[Nigeria]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamnso' iko katika kundi la ''Grassfields'' ambalo linafanana na [[lugha za Kibantu]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 14:36, 17 Mei 2014

Kilamnso' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walamnso'. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kilamnso' imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamnso' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamnso' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.