Rukia yaliyomo

Kingoni : Tofauti kati ya masahihisho

1 byte removed ,  miaka 8 iliyopita
d
ki- --> i- using AWB
d (→‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB)
d (ki- --> i- using AWB)
'''Kingoni''' ni lugha ya Kibantu nchini [[Tanzania]] na [[Msumbiji]] inayozungumzwa na [[Wangoni]]. Kimetokana na lugha ya [[Kizulu]] Wangoni walipohama Afrika ya Kusini wakati wa [[Shaka Zulu]]. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kingoni nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 53,000 nchini Msumbiji. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kingoni kikoiko katika kundi la N10.
 
==Viungo vya nje==
62,394

edits