Hans Buchner : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d robot Adding: en:Hans Ernst August Buchner |
||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
[[de:Hans Ernst August Buchner]] |
[[de:Hans Ernst August Buchner]] |
||
[[en:Hans Ernst August Buchner]] |
Pitio la 16:34, 23 Novemba 2007
Hans Ernst August Buchner (16 Desemba, 1850 – 5 Aprili, 1902) alikuwa daktari kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa na damu ya binadamu. Alikuwa kaka ya Eduard Buchner aliyepokea Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907.
Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, Hans Buchner.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |