Kisotho-Kaskazini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: kiungo cha kisasa cha Ethnologue using AWB
d ki- --> i- using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kisotho-Kaskazini''' (pia Kisepedi) ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wasepedi]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini [[Botswana]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisotho-Kaskazini kiko katika kundi la S30.
'''Kisotho-Kaskazini''' (pia Kisepedi) ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Afrika Kusini]] inayozungumzwa na [[Wasepedi]]. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini [[Botswana]]. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kisotho-Kaskazini iko katika kundi la S30.


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==

Pitio la 10:42, 17 Mei 2014

Kisotho-Kaskazini (pia Kisepedi) ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasepedi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kaskazini iko katika kundi la S30.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.