Sarafu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
tahajia
Mstari 10: Mstari 10:
==Sarafu za kihistoria==
==Sarafu za kihistoria==
<gallery perrow="4">
<gallery perrow="4">
File:Achaemenid coin daric 420BC front.jpg|Dariki ya [[Uajem]]i, mnamo 490 [[KK]]
File:Achaemenid coin daric 420BC front.jpg|Dariki ya [[Uajemi]], mnamo 490 [[KK]]
File:Tetradrachm Athens 480-420BC MBA Lyon.jpg|Tetradrachmi kutoka Athini, [[Ugiriki ya Kale]], mnamo 480-420 KK.
File:Tetradrachm Athens 480-420BC MBA Lyon.jpg|Tetradrachmi kutoka Athini, [[Ugiriki ya Kale]], mnamo 480-420 KK.
File:Apipanes atzmon.JPG| Sarafu ya shaba iliyotolewa na [[Antiochus IV Epiphanes]], karne ya 2 KK
File:Apipanes atzmon.JPG| Sarafu ya shaba iliyotolewa na [[Antiochus IV Epiphanes]], karne ya 2 KK

Pitio la 17:05, 14 Mei 2014

Sarafu ya Kenya

Sarafu (kar. صرافة badilisha) ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya pesa. Mara nyingi sarafu ina umbo la duara kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.

Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu za kwanza zinazojulikana dunia zimepatikana kutoka Lydia katika Anatolia ya Magharibi iliyokuwa wakati ule sehemu ya utamaduni wa Wagiriki wa Kale. Sarafu zilitengenezwa hasa kwa kutumia metali ya thamani kama dhahabu na fedha, pia ya shaba na wakati mwingine ya chuma. Thamani ya sarafu ililingana na kiasi fulani cha metali hizi.

Siku hizi sehemu kubwa ya fedha inatolewa kama noti yaani kama karatasi. Karibu popote duniani sarafu hutumika kwa ajili ya pesa ndogo tu. Isipokuwa sarafu za dhahabu zinatolewa kwa idadi ndogo hasa kwa ajili ya watu wanaopenda kukusanya aina mbalimbali za sarafu zenye thamani ingawa hazitumiki kama pesa ya kulipia.

Sarafu za kihistoria