Tandu-shamba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
* [[Scolopendrellidae]]
* [[Scolopendrellidae]]
}}
}}
'''Tandu-shamba''' ni aina za [[arithropodi]] wadogo katika [[ngeli]] [[Symphyla]] ya [[nusufaila]] [[Myriopoda]]. Hata kama wanafanana na [[tandu]] wa kawaida, inaonekana kwamba wana mnasaba zaidi na [[jongoo|majongoo]] lakini uchanganuzi wa ADN umetoa matokeo yanayopingana. Hawa ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye mm 2-30. Mwili wao ni mwororo na unapenyeka kwa nuru. Hawana [[jicho|macho]] na hutumia [[kipapasi|vipapasi]] ili kusikia njia. Huonekana katika udongo mpaka kina cha sm 50. Hula dutu ya [[kiumbehai|viumbehai]] lakini spishi kadhaa zinaweza kuharibu [[mmea|mimea]] ya [[shamba]]ni.
'''Tandu-shamba''' ni aina za [[arithropodi]] wadogo katika [[ngeli]] [[Symphyla]] ya [[nusufaila]] [[Myriapoda]]. Hata kama wanafanana na [[tandu]] wa kawaida, inaonekana kwamba wana mnasaba zaidi na [[jongoo|majongoo]] lakini uchanganuzi wa ADN umetoa matokeo yanayopingana. Hawa ni [[mnyama|wanyama]] wadogo wenye mm 2-30. Mwili wao ni mwororo na unapenyeka kwa nuru. Hawana [[jicho|macho]] na hutumia [[kipapasi|vipapasi]] ili kusikia njia. Huonekana katika udongo mpaka kina cha sm 50. Hula dutu ya [[kiumbehai|viumbehai]] lakini spishi kadhaa zinaweza kuharibu [[mmea|mimea]] ya [[shamba]]ni.


==Picha==
==Picha==

Pitio la 21:20, 2 Mei 2014

Tandu-shamba
Spishi isiyotambuliwa ya Symphyla
Spishi isiyotambuliwa ya Symphyla
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia
Faila: Arthropoda
Nusufaila: Myriapoda
Ngeli: Symphyla
Ngazi za chini

Familia:

Tandu-shamba ni aina za arithropodi wadogo katika ngeli Symphyla ya nusufaila Myriapoda. Hata kama wanafanana na tandu wa kawaida, inaonekana kwamba wana mnasaba zaidi na majongoo lakini uchanganuzi wa ADN umetoa matokeo yanayopingana. Hawa ni wanyama wadogo wenye mm 2-30. Mwili wao ni mwororo na unapenyeka kwa nuru. Hawana macho na hutumia vipapasi ili kusikia njia. Huonekana katika udongo mpaka kina cha sm 50. Hula dutu ya viumbehai lakini spishi kadhaa zinaweza kuharibu mimea ya shambani.

Picha