Tofauti kati ya marekesbisho "Kali Yuga"

Jump to navigation Jump to search
48 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
nyongeza kidogo
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kali Yuga''' (Devanāgarī: {{lang|sa|कलियुग}}, lit. "Kipindi cha Kali" yaani "kipindi cha dhambi") ni kimoja cha vipindi vinne vya muda wa u...')
 
(nyongeza kidogo)
'''Kali Yuga''' ([[Devanāgarī]]: {{lang|sa|कलियुग}}, lit. "Kipindi cha Kali" yaani "kipindi cha dhambi") ni kimoja cha vipindi vinne vya muda wa ulimwengu kufuatana na imani ya [[Uhindu]].
 
Kufuatana na imani hii, ulimwengu unapitabaada kwenyeya uumbaji una muda wake maalumu unaogawiwa kwa "[[yuga]]" au vipindi vinne. Ulimwengu unaanza baada ya kila uumbaji katika yuga au kipindi cha kwanza ambako nguvu ya kimungu ya [[karma]] inapatikana kwa nguvu kwa hiyo dunia inajaa maadili mema. Kila yuga nguvu ya karma inapungua hadi katika kipindi au yuga ya nne nguvu ya karma na maadili iko robo moja tu. Pepo baya kwa jina "Kali" <ref>aliye tofauti na mungu wa kike anayeitwa Kali</ref> anatawala yuga hii.
 
Kufuatana na maanikomaandiko ya Kihindu Kali Yuga hii ilianza 23 Januari 3102 [[BK]]. Wahindu walio wengi huamini yuga hii ina muda wa miaka 432,000. Imani hii ikoinapatikana pia kati ya wafuasi wa [[Kalasinga]]<ref>[http://www.hinduweb.org/home/sikh/rverma/ksgill.html The Guru Nanak (founder of Sikhism) Prophecies]</ref>
 
== Marejeo ==

Urambazaji