Tofauti kati ya marekesbisho "Kitenzi kikuu kisaidizi"

Jump to navigation Jump to search
230 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{ExamplesSidebar|35%| *Oliver ''''hakutaka''' ''kula'' ugali *Habibu '''angali''' ''anasoma'' darasani *Sisi '''tunataka''' ''kwenda'' '''kuogelea''' mtoni }}...')
 
No edit summary
}}
'''Kitenzi kikuu kisaidizi''' (alama yake ya [[isimu|kiisimu]] ni: '''TS''') ni kitenzi ambacho hukaa sambamba na kitenzi kikuu ili kukisaidia kitenzi kikuu kukamilisha taarifa. Kitenzi kikuu kisaidizi kikiwa peke yake hakiwezi kutoa taarifa kamili. Hivyo basi kinahitaji msaada/lazima kiambatane na kitenzi kingine (kikuu) ndipo taarifa yake ikamilike.
==Uchambuzi==
;Mifano:
*Babu yangu '''alikuwa''' ''anaumwa'' sana (''alikuwa'' ni kitenzi kisaidizi '''TS''' - na ''anaumwa'' ni kitenzi kikuu '''T''').
*Wezi '''walikuwa''' ''wanataka'' '''kuiba''' fedha zake (''walikuwa'' na ''wanataka'' vyote ni vitenzi visaidizi - isipokuwa '''kuiba''' ambapo hapa kimeainishika kama kitenzi kikuu). Kikawaida kitenzi kikuu hukaa mwisho hata kama nyuma yake kutakuwa na wasaidizi kumi.
 
'''Angalizo''': Kitenzi kikuu alama yake ni '''T''' kubwa na kitenzi kisaidizi alama yake ni '''TS'''.
===Dhima ya kitenzi kikuu kisaidizi===
Dhima za kitenzi kikuu kisaidizi imegawanyika katika makundi makuu mawili - nayo ni:
 
1) Kujulisha ''njeo'' (njeo = wakati, nyakati)
 
2) Kujulisha uyakinishi na ukanushi wa tendo/matendo
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]

Urambazaji