Paka-kaya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 186 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q146 (translate me)
Masahihisho
Mstari 17: Mstari 17:
| bingwa_wa_nususpishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
| bingwa_wa_nususpishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
}}
}}
'''Paka-kaya''' ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni sehemu ya [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[Felidae]] wanaojumlisha paka pamoja na [[gwagu]] (paka wa porini) na felidae wakubwa kama [[simba]], [[chui]] na [[duma]].
'''Paka-kaya''' ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni mwana wa [[Familia (biolojia)|familia]] ya [[Felidae]] wanaojumlisha paka pamoja na [[gwagu]] ([[paka-pori]]) na [[spishi]] kubwa kama [[simba]], [[chui]] na [[duma]].


Asili ya paka ni paka za porini walioanza kutafuta chakula karibu na makazi ya watu wa kale na kuwazoea. Watu walipenda paka kwa sababu paka hushika [[panya]] na wanyama wengine wadogo wanaoonekana ni waharibifu katika makazi ya watu. Kwa hiyo paka waliendelea kwa muda mrefu katika mazingira ya kibinadamu kama wawindaji wa panya waliolishwa na watu wakipewa mabaki ya chakula pia. Katika mazingira ya mjini paka hufugwa mara nyingi kama mnyama kipenzi hapati tena nafasi ya kuwinda.
Asili ya paka ni paka za porini (kwa hakika [[paka-jangwa]], ''F. s. lybica'') walioanza kutafuta chakula karibu na makazi ya watu wa kale na kuwazoea. Watu walipenda paka kwa sababu paka hushika [[panya]] na wanyama wengine wadogo wanaoonekana ni waharibifu katika makazi ya watu. Kwa hiyo paka waliendelea kwa muda mrefu katika mazingira ya kibinadamu kama wawindaji wa panya waliolishwa na watu wakipewa mabaki ya chakula pia. Katika mazingira ya mjini paka hufugwa mara nyingi kama mnyama kipenzi hapati tena nafasi ya kuwinda.
[[Picha:Il Gatto e il Topo 2.jpg|thumb|250px|left|Paka na panya]]
[[Picha:Il Gatto e il Topo 2.jpg|thumb|250px|left|Paka na panya]]
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==

Pitio la 23:40, 14 Machi 2014

Paka-kaya
Paka-kaya
Paka-kaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Felinae (Wanyama wanaofanana na paka)
Jenasi: Felis
Spishi: Felis silvestris
Nususpishi: Felis s. catus
(Linnaeus, 1758)

Paka-kaya ni mnyama mdogo alaye nyama na ambaye amefugwa na binadamu tangu miaka maelfu. Paka ni mwana wa familia ya Felidae wanaojumlisha paka pamoja na gwagu (paka-pori) na spishi kubwa kama simba, chui na duma.

Asili ya paka ni paka za porini (kwa hakika paka-jangwa, F. s. lybica) walioanza kutafuta chakula karibu na makazi ya watu wa kale na kuwazoea. Watu walipenda paka kwa sababu paka hushika panya na wanyama wengine wadogo wanaoonekana ni waharibifu katika makazi ya watu. Kwa hiyo paka waliendelea kwa muda mrefu katika mazingira ya kibinadamu kama wawindaji wa panya waliolishwa na watu wakipewa mabaki ya chakula pia. Katika mazingira ya mjini paka hufugwa mara nyingi kama mnyama kipenzi hapati tena nafasi ya kuwinda.

Paka na panya

Viungo vya nje

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA