Athens : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 165 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1524 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] iliyokuwa boma na mtaa wa mahekalu ya Athens ya Kale]]
[[Picha:Athens Acropolis.jpg|thumb|300px|Majengo ya [[Akropoli]] juu ya kilima iliyokuwa [[boma]] na [[mtaa]] wa ma[[hekalu]] ya Athens ya Kale. Huko [[Mtume Paulo]] alitoa [[hotuba]] maarufu ([[Mdo]] 17).]]


Mji '''Athens''' ([[kigir.]] Αθήνα "Athina") ni [[mji mkuu]] wa [[Ugiriki]] (Uyunani) na mji mkubwa wa nchi hii. Athens ni kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye historia ndefu tangu miaka mielfu.
'''Athens''' (kwa [[Kigiriki]] Αθήνα "Athina") ni [[mji mkuu]] wa [[Ugiriki]] (Uyunani), mji mkubwa wa nchi hii, na mojawapo kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye [[historia]] ndefu tangu miaka elfuelfu.


Jina limetokana na mungu wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa elimu na vita zamani za [[Ugiriki wa Kale]]. Siku hizi mji una wakazi milioni 3.
Siku hizi mji una wakazi milioni 3.

==Jina==
Jina limetokana na [[mungu]] wa kike "[[Athena]]" aliyeabudiwa kama mungu wa [[elimu]] na wa [[vita]] zamani za [[Ugiriki wa Kale]].


== Historia ==
== Historia ==
Katika karne [[kabla za Kristo]] Athens ilikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi [[Italia]] na [[Uturuki]] ya leo.
Katika [[karne]] [[kabla ya Kristo]] Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi [[Italia]] na [[Uturuki]] ya leo.

Athens ilikuwa maarufu kwa [[wataalamu]] wake hasa [[wanafalsafa]] kama [[Sokrates]], [[Plato]] na [[Aristoteles]].

Kisiasa inaitwa asili ya [[demokrasia]].

Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa [[Dola la Roma]] na baada ya [[1453]] chini ya [[Dola la Uturuki]]. Hapo mji ukawa bila umuhimu wowote, tena ukakonda.


Wakati wa [[uhuru]] wa Ugiriki mwaka [[1834]] Athens ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.
Athens ilikuwa maarufu kwa wataalamu wake hasa wanafalsafa kama [[Platon]] na [[Aristoteles]]. Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.


Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.
Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa Dola la Roma na baada ya 1453 chini ya [[Dola la Uturuki]]. Mji ukawa bila umuhimu wowote tena ukakonda. Wakati wa uhuru wa Ugiriki 1834 Athen ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu. Tangu 1834 imekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.


Michezo ya kwanza ya [[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa|Olimpiki ya kisasa]] ilifanyika Athens mwaka [[1896]]. Michezo ilirudi tena mwaka [[2004]].
Michezo ya kwanza ya [[Michezo ya Olimpiki ya Kisasa|Olimpiki ya kisasa]] ilifanyika Athens mwaka [[1896]]. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka [[2004]].


{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
Mstari 24: Mstari 33:
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Ugiriki ya Kale]]
[[Jamii:Miji ya pwani la Mediteranea]]
[[Jamii:Miji ya pwani la Mediteranea]]
[[Jamii:Miji ya Biblia]]


{{Link FA|mk}}
{{Link FA|mk}}

Pitio la 14:23, 23 Februari 2014

Majengo ya Akropoli juu ya kilima iliyokuwa boma na mtaa wa mahekalu ya Athens ya Kale. Huko Mtume Paulo alitoa hotuba maarufu (Mdo 17).

Athens (kwa Kigiriki Αθήνα "Athina") ni mji mkuu wa Ugiriki (Uyunani), mji mkubwa wa nchi hii, na mojawapo kati ya miji mashuhuri ya dunia yenye historia ndefu tangu miaka elfuelfu.

Siku hizi mji una wakazi milioni 3.

Jina

Jina limetokana na mungu wa kike "Athena" aliyeabudiwa kama mungu wa elimu na wa vita zamani za Ugiriki wa Kale.

Historia

Katika karne kabla ya Kristo Athens ulikuwa mji muhimu uliotawala sehemu kubwa ya Ugiriki pamoja na miji mingi hadi Italia na Uturuki ya leo.

Athens ilikuwa maarufu kwa wataalamu wake hasa wanafalsafa kama Sokrates, Plato na Aristoteles.

Kisiasa inaitwa asili ya demokrasia.

Baadaye ilikuwa chini ya utawala wa Dola la Roma na baada ya 1453 chini ya Dola la Uturuki. Hapo mji ukawa bila umuhimu wowote, tena ukakonda.

Wakati wa uhuru wa Ugiriki mwaka 1834 Athens ilikuwa na wakazi wapatao 1000 tu.

Tangu hapo umekuwa mji mkuu wa Ugiriki ikakua tena.

Michezo ya kwanza ya Olimpiki ya kisasa ilifanyika Athens mwaka 1896. Michezo ilirudi tena kufanyika huko mwaka 2004.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Athens kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA