Tofauti kati ya marekesbisho "Fonolojia"

Jump to navigation Jump to search
280 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
+uboreshaji yakinifu
d (Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q40998 (translate me))
(+uboreshaji yakinifu)
'''Fonolojia''' ni tawi la sayansi ya [[isimu]]. Inashughulikia uchunguzi wa mfumo wa sauti katika lugha fulani, kwa mfano ugawanyaji wa [[irabu]] na [[konsonanti]]. MatokeoAla yaza uchunguzisauti wa(vipashio kifonolojiavya yanautamkaji) umuhimuzinatumika katika kubuniutamkaji [[alfabeti]].wa Dhanafonimu ya(vitamkwa) fonolojiaza inajipambanualugha vizurihusika. zaidiMkondo ikifasiliwawa kwahewa kutofautishwawakati nawa fonetikiutamkaji. WakatiKuwepo fonetikina nikutokuwepo taalumakwa inayochunguzamguno sautiwakati zitamkwazowa nautamkaji binadamu(guna/siguna). bilaUtanzu kuzihusishahuu nahushughulikia lughakanuni yoyote,zinazotawala fonolojiauchambuzi huchunguzawa '''mfumo wa sauti wa lugha mahususi kama vile sauti za Kiswahili, Kiingerezayaani, Kimwera, na Kinyaturu. ZINGATIA: Fonetiki huchunguza sauti zote zitamkwazokutamkwaje na binadamu;wapi fonolojiakatika huchunguzakinywa MFUMOcha WA SAUTI wa lugha mahususimwanadamu.
 
Matokeo ya uchunguzi wa kifonolojia yana umuhimu katika kubuni [[alfabeti]]. Dhana ya fonolojia inajipambanua vizuri zaidi ikifasiliwa kwa kutofautishwa na fonetiki. Wakati fonetiki ni taaluma inayochunguza sauti zitamkwazo na binadamu bila kuzihusisha na lugha yoyote, fonolojia huchunguza mfumo wa sauti wa lugha mahususi kama vile sauti za Kiswahili, Kiingereza, Kimwera, na Kinyaturu. ZINGATIA: Fonetiki huchunguza sauti zote zitamkwazo na binadamu; fonolojia huchunguza MFUMO WA SAUTI wa lugha mahususi.
 
Hivyo, fonetiki huchunguza sauti nyingi kadri iwezekanavyo, lakini fonolojia huchunguza sauti chache tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha husika. Mathalani, mfumo wa sauti wa lugha ya Kiswahili una sauti thelathini tu (irabu tano na konsonanti ishirini na tano).
Jambo lingine la kuzingatia ni vipashio vya kiuchambuzi vya matawi haya mawili. Wakati fonetiki kipashio chake cha msingi ni FONI, fonolojia kipashio chake cha msingi ni FONIMU. Kwa kuzingatia maelezo ya hapo awali, ni wazi kuwa FONI ni nyingi zaidi kuliko FONIMU, kwakuwa FONI ni kila sauti itamkwayo na binadamu, wakati FONIMU ni sauti zile tu zilizomo katika mfumo wa sauti wa lugha mahususi. Hivyo, kuna FONIMU za Kiswahili, za Kiingereza, za Kichina, n.k., lakini FONI si za lugha yoyote na wala uwezi sema kwa uhakika kuna FONI ngapi, kwakuwa bado kuna lugha nyingi duniani ambazo bado hazijatafitiwa.
 
Mchangiaji: achipila@yahoo.co.uk, 11:22, 19 Sept. 2008.
== Marejeo ==
*[[TUKI]] 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]

Urambazaji