Kiidakho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
d →‎Viungo vya nje: ondoa interwiki --> wikidata using AWB
Mstari 10: Mstari 10:
{{DEFAULTSORT:Idakho}}
{{DEFAULTSORT:Idakho}}
[[Jamii:Lugha za Kenya]]
[[Jamii:Lugha za Kenya]]

[[en:Idaxo-Isuxa-Tiriki language]]

Pitio la 06:33, 23 Januari 2014

Kiidakho-Kiisukha-Kitiriki ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na makabila matatu, yaani Waidakho, Waisukha na Watiriki. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiidakho imehesabiwa kuwa watu 598,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiidakho kiko katika kundi la E40.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiidakho kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.