Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d +def; +jamii
Mstari 1: Mstari 1:
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]].

Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo]], [[Mgata]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] Na vinginevyo vingi.
Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo]], [[Mgata]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] na vinginevyo vingi.

Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo]].
Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo]].
Mstari 8: Mstari 8:

Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].
Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].

{{DEFAULTSORT:Luguru}}
[[Category:Makabila ya Tanzania]]

Pitio la 10:49, 11 Januari 2014

Waluguru ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Morogoro na Pwani, hasa kwenye Milima ya Uluguru (Wilaya ya Mvomero) na katika wilaya ya Morogoro vijijini ukianzia Matombo kuelekea Dutumi hadi Bwakila Juu.

Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza ngoma za asili kati ya Oktoba hadi Januari, hasa wale wanaoishi katika vijiji vya Longwe, Temekelo, Mgata, Kumba, Singisa, Bwakira, Kolero, Nyamighadu na vinginevyo vingi.

Vyakula vya asili ni magimbi, matuwi na mahimbi pamoja na muhogo.

Lugha yao ni Kiluguru.

Upande wa dini, kwa kawaida wale wa mabondeni ni Waislamu na wale wa milimani ni Wakristo, hasa wa Kanisa Katoliki.