Kibarabara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
→‎Picha: Emberiza variabilis (0s5).JPG
Mstari 97: Mstari 97:
Picha:Emberiza sulphurata.jpg|Yellow bunting
Picha:Emberiza sulphurata.jpg|Yellow bunting
Picha:Tristram's Bunting 9849.jpg|Tristram's bunting
Picha:Tristram's Bunting 9849.jpg|Tristram's bunting
Picha:Emberiza variabilis 1.jpg|Grey bunting
Picha:Emberiza variabilis (0s5).JPG|Grey bunting
Picha:Crested Bunting.JPG|Crested bunting
Picha:Crested Bunting.JPG|Crested bunting
</gallery>
</gallery>

Pitio la 13:55, 3 Januari 2014

Kibarabara
Kibarabara-kaya
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Emberizidae (Ndege walio na mnasaba na vibarabara)
Jenasi: Emberiza Linnaeus, 1758

Miliaria Brehm, 1831

Vibarabara ni ndege wadogo wa familia ya Emberizidae. Wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu. Kichwa chao kina bombwe bainifu kwa kawaida. Vibarabara wanatokea Afrika, Asia na Ulaya. Spishi nyingine za familia hii zinatokea Amerika. Vibarabara hula mbegu lakini hulisha makinda wadudu. Hulijenga tago lao kwa manyasi na nyuzinyuzi ardhini au katika kichaka kifupi. Jike huyataga mayai 3-5.

Spishi za Afrika

Spishi za Ulaya na Asia

Picha