Kitabu cha Yuditi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 37 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q202129 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kitabu cha Yudith''' ni kimojawapo kati ya vitabu vya[[deuterokanoni]] vya [[Biblia ya Kikristo]].
'''Kitabu cha Yudith''' ni kimojawapo kati ya vitabu vya [[deuterokanoni]] vya [[Biblia ya Kikristo]].


Kimo katika [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Kanisa Katoliki]], la [[Waortodoksi]] wengi na la baadhi ya [[Waprotestanti]], lakini si katika [[Tanakh]] ya [[Uyahudi]] wala katika [[Biblia]] ya Waprotestanti.
Kimo katika [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Kanisa Katoliki]], la [[Waorthodoksi]] wengi na la baadhi ya [[Waprotestanti]], lakini si katika [[Tanakh]] ya [[Uyahudi]] wala katika [[Biblia]] ya Waprotestanti.


==Habari iliyomo==
Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika [[karne ya 1 K.K.]] inahusu wakati wa mfalme [[Nebukadreza]], na vita vyake dhidi ya [[Israeli]] ([[karne ya 6 K.K.]]).
Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika [[karne ya 1 K.K.]] inahusu wakati wa mfalme [[Nebukadreza II]], na [[vita]] vyake dhidi ya [[Israeli]] ([[karne ya 6 K.K.]]).


Kinyume cha matarajio, Yudith, mwanamke wa kabila la [[Yuda]], aliweza kupata ushindi kwa imani na ushujaa wake.
Kinyume cha matarajio, [[Yudith]], ambaye jina lake linamaanisha [[mwanamke]] wa [[kabila la Yuda]], aliweza kupata [[ushindi]] kwa [[imani]] na [[ushujaa]] wake.


Habari hiyo ya ajabu ilipata mwangwi kwa wingi katika sanaa mbalimbali.
Habari hiyo ya ajabu ilipata [[mwangwi]] kwa wingi katika [[sanaa]] mbalimbali.


==Ufafanuzi==
Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha [[Bikira Maria]] katika mapambano dhidi ya shetani, hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa Mungu Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe Bwana Mungu, Muumba mbingu na nchi, aliyekuongoza hata ukampiga kichwa mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).
Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha [[Bikira Maria]] katika mapambano dhidi ya [[shetani]], hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa [[Mungu]] Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe [[Bwana]] Mungu, [[Muumba]] [[mbingu]] na [[nchi]], aliyekuongoza hata ukampiga [[kichwa]] mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).


Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Kama vitabu vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].

Pitio la 09:40, 15 Desemba 2013

Kitabu cha Yudith ni kimojawapo kati ya vitabu vya deuterokanoni vya Biblia ya Kikristo.

Kimo katika Septuaginta na katika Agano la Kale la Kanisa Katoliki, la Waorthodoksi wengi na la baadhi ya Waprotestanti, lakini si katika Tanakh ya Uyahudi wala katika Biblia ya Waprotestanti.

Habari iliyomo

Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika karne ya 1 K.K. inahusu wakati wa mfalme Nebukadreza II, na vita vyake dhidi ya Israeli (karne ya 6 K.K.).

Kinyume cha matarajio, Yudith, ambaye jina lake linamaanisha mwanamke wa kabila la Yuda, aliweza kupata ushindi kwa imani na ushujaa wake.

Habari hiyo ya ajabu ilipata mwangwi kwa wingi katika sanaa mbalimbali.

Ufafanuzi

Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha Bikira Maria katika mapambano dhidi ya shetani, hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa Mungu Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe Bwana Mungu, Muumba mbingu na nchi, aliyekuongoza hata ukampiga kichwa mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).

Kama vitabu vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.


Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.

Kigezo:Link FA