Fransis Bacon : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Fransis Bacon''' ([[22 Januari]] [[1561]] - [[9 Aprili]] [[1626]]) alikuwa [[Uingereza|Mwingereza]] maarufu upande wa [[falsafa]], [[siasa]], [[sayansi]], [[sheria]], [[hotuba]] na [[uandishi]].
'''Fransis Bacon''' ([[22 Januari]] [[1561]] - [[9 Aprili]] [[1626]]) alikuwa [[Uingereza|Mwingereza]] maarufu upande wa [[falsafa]], [[siasa]], [[sayansi]], [[sheria]], [[hotuba]] na [[uandishi]].


Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini<ref group=lower-alpha>Contemporary spelling, used by Bacon himself in his letter of thanks to the king for his elevation. {{cite book|last=Birch|first=Thomas|authorlink=Thomas Birch|title=Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon|volume=6|year=1763|publisher=Andrew Millar|location=London|pages=271–2|oclc=228676038}}</ref>, aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa [[mbinu ya kisayansi]] wakati wa [[mapinduzi ya kisayansi]] akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.<ref>{{cite web|url=http://www.psychology.sbc.edu/Empiricism.htm |title=Home &#124; Sweet Briar College |publisher=Psychology.sbc.edu |date= |accessdate=2013-10-21}}</ref>
Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini<ref>{{cite book|last=Birch|first=Thomas|authorlink=Thomas Birch|title=Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon|volume=6|year=1763|publisher=Andrew Millar|location=London|pages=271–2|oclc=228676038}}</ref>, aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa [[mbinu ya kisayansi]] wakati wa [[mapinduzi ya kisayansi]] akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.<ref>{{cite web|url=http://www.psychology.sbc.edu/Empiricism.htm |title=Home &#124; Sweet Briar College |publisher=Psychology.sbc.edu |date= |accessdate=2013-10-21}}</ref>


Alifariki kwa [[kichomi]] wakati wa kujaribu namna ya kutunza [[nyama]] kwa kutumia [[barafu]].
Alifariki kwa [[kichomi]] wakati wa kujaribu namna ya kutunza [[nyama]] kwa kutumia [[barafu]].

Pitio la 14:32, 9 Desemba 2013

Francis Bacon alivyochorwa na Frans Pourbus (1617),Warsaw, Polandi.

Fransis Bacon (22 Januari 1561 - 9 Aprili 1626) alikuwa Mwingereza maarufu upande wa falsafa, siasa, sayansi, sheria, hotuba na uandishi.

Baada ya kushika nafasi muhimu serikalini[1], aliacha urithi wake hasa upande wa sayansi kama mtetezi na mtumiaji wa mbinu ya kisayansi wakati wa mapinduzi ya kisayansi akidai kila jambo lithibitishwe kwa majaribio.[2]

Alifariki kwa kichomi wakati wa kujaribu namna ya kutunza nyama kwa kutumia barafu.

Maandishi yake

Kati ya yale muhimu zaidi kuna:

Tazama pia

  • Cestui que (Defense and Comment on Chudleigh's Case)

Tanbihi

  1. Birch, Thomas (1763). Letters, Speeches, Charges, Advices, &c of Lord Chancellor Bacon 6. London: Andrew Millar. ku. 271–2. OCLC 228676038. 
  2. "Home | Sweet Briar College". Psychology.sbc.edu. Iliwekwa mnamo 2013-10-21. 

Marejeo

Viungo vya nje

Kigezo:Link GA