Waluguru : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Pius Angelo
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]]. Lugha yao ni [[Kiluguru]].
'''Waluguru''' ni kabila la [[Tanzania]] wanaoishi katika mikoa ya [[Mkoa wa Morogoro|Morogoro]] na [[Mkoa wa Pwani|Pwani]], hasa kwenye [[Milima ya Uluguru]] ([[Wilaya ya Mvomero]]) na katika [[wilaya ya Morogoro vijijini]] ukianzia [[Matombo]] kuelekea [[Dutumi]] hadi [[Bwakila Juu]].


Waluguru ni kabila ambalo limeenea sana katika nyanda za kusini katika mkoa wa Morogoro, hasa katika wilaya ya Morogoro vijijini ukianzia Matombo kuelekea Dutumi hadi Bwakila juu. Tamaduni na mila ya Waluguru hufahamika sana katika suala la kucheza ngoma za asili kati ya miezi ya kumi hadi mwez wa kwanza hasa wale wanaoishi vijiji vya longwe, temekelo, mgata, kumba, singisa, bwakira, kolero, nyamighadu. Na vinginevyo vingi ambavyo sitaweza kuvitaja kwa kimoja kimoja. Vyakula vya asil ni magimbi, matuwi, na mahimbi pamoda na muhogo ndo chakula kikuu cha waluguru.
Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza [[ngoma]] za asili kati ya [[Oktoba]] hadi [[Januari]], hasa wale wanaoishi katika vijiji vya [[Longwe]], [[Temekelo]], [[Mgata]], [[Kumba]], [[Singisa]], [[Bwakira]], [[Kolero]], [[Nyamighadu]] Na vinginevyo vingi.

Vyakula vya asili ni [[magimbi]], [[matuwi]] na [[mahimbi]] pamoja na [[muhogo]].

Lugha yao ni [[Kiluguru]].

Upande wa [[dini]], kwa kawaida wale wa mabondeni ni [[Waislamu]] na wale wa milimani ni [[Wakristo]], hasa wa [[Kanisa Katoliki]].

Pitio la 10:46, 1 Desemba 2013

Waluguru ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Morogoro na Pwani, hasa kwenye Milima ya Uluguru (Wilaya ya Mvomero) na katika wilaya ya Morogoro vijijini ukianzia Matombo kuelekea Dutumi hadi Bwakila Juu.

Tamaduni na mila zao hufahamika sana katika suala la kucheza ngoma za asili kati ya Oktoba hadi Januari, hasa wale wanaoishi katika vijiji vya Longwe, Temekelo, Mgata, Kumba, Singisa, Bwakira, Kolero, Nyamighadu Na vinginevyo vingi.

Vyakula vya asili ni magimbi, matuwi na mahimbi pamoja na muhogo.

Lugha yao ni Kiluguru.

Upande wa dini, kwa kawaida wale wa mabondeni ni Waislamu na wale wa milimani ni Wakristo, hasa wa Kanisa Katoliki.