Tofauti kati ya marekesbisho "Sarafu"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
No edit summary
[[Picha:KSh10b.JPG|thumb|150px|Sarafu ya Kenya]]
 
'''Sarafu''' ([[kar.]] '''<big>صرافة</big>''' ''badilisha'') ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya [[pesa]]. Mara nyingi sarafu ina umbo la [[duara]] kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.
 
Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu za kwanza zinazojulikana dunia zimepatikana kutoka [[Lydia]] katika [[Anatolia]] ya Magharibi iliyokuwa wakati ule sehemu ya utamaduni wa [[Wagiriki wa Kale]]. Sarafu zilitengenezwa hasa kwa kutumia metali ya thamani kama [[dhahabu]] na [[fedha]], pia ya [[shaba]] na wakati mwingine ya [[chuma]]. Thamani ya sarafu ililingana na kiasi fulani cha metali hizi.

Urambazaji