Adalbert wa Prague : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 30 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q243427 (translate me)
+Picture
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Sanctus Adalbertus.jpg|thumb|right|Adalbert wa Prague]]
[[Picha:Sanctus Adalbertus.jpg|thumb|right|Adalbert wa Prague]]
[[File:Schädelreliquie Adalbert von Prag.jpg|left|thumb]]
'''Adalbert wa Prague''' (kwa [[Kicheki]] Vojtěch, kwa [[Kipolandi]] Wojciech, kwa [[Kijerumani]] Adalbert) alizaliwa [[Libice]] takriban mwaka [[956]] – akauawa tarehe [[23 Aprili]], [[997]]) akiwa [[askofu]] [[mmisionari]] katika mji wa [[Prague]] ([[Ucheki]]).

Pitio la 22:02, 24 Oktoba 2013

Adalbert wa Prague

Adalbert wa Prague (kwa Kicheki Vojtěch, kwa Kipolandi Wojciech, kwa Kijerumani Adalbert) alizaliwa Libice takriban mwaka 956 – akauawa tarehe 23 Aprili, 997) akiwa askofu mmisionari katika mji wa Prague (Ucheki).

Mwaka 999 alitangazwa kuwa mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 23 Aprili.

Marejeo

  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.

Viungo vya nje

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.