Mparachichi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 80 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q37153 (translate me)
Nyongeza jamii
Mstari 11: Mstari 11:
| familia = [[Lauraceae]] <small>(Mimea iliyo na mnasaba na mparachichi)</small>
| familia = [[Lauraceae]] <small>(Mimea iliyo na mnasaba na mparachichi)</small>
| jenasi = ''[[Persea]]''
| jenasi = ''[[Persea]]''
| spishi= ''[[Mparachichi|P. americana]]'' <small>[[Philip Miller|Mill.]]</small>
| spishi= ''[[Persea americana|P. americana]]'' <small>[[Philip Miller|Mill.]]</small>
}}
}}
'''Mparachichi''' au '''mwembe mafuta''' ni [[mti]] wenye [[jani|majani]] na [[tunda|matunda]] makubwa ambao hupandwa mahali pote pa [[tropiki]] na [[nusutropiki]]. Huitwa '''mpea''' pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya [[jenasi]] ''[[Pyrus]]''. Matunda yake ([[parachichi|maparachichi]]) yana mafuta mengi.

Mstari 25: Mstari 25:

[[Jamii:Mparachichi na jamaa]]
[[Jamii:Mparachichi na jamaa]]
[[Jamii:Miti ipandwayo]]

Pitio la 21:17, 21 Septemba 2013

Mparachichi
(Persea americana)
Mparachichi
Mparachichi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Magnoliids (Mimea ambayo maua yao yana mizingo ya tepali tatu na chavua yenye kitundu kimoja)
Oda: Laurales (Mimea kama mparachichi)
Familia: Lauraceae (Mimea iliyo na mnasaba na mparachichi)
Jenasi: Persea
Spishi: P. americana Mill.

Mparachichi au mwembe mafuta ni mti wenye majani na matunda makubwa ambao hupandwa mahali pote pa tropiki na nusutropiki. Huitwa mpea pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya jenasi Pyrus. Matunda yake (maparachichi) yana mafuta mengi.

Picha