Tofauti kati ya marekesbisho "Uwanja wa ndege"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|[[Afonso Pena International Airport|Uwanja wa Ndege wa Afonso Pena nchini Brazil]] Uwanja wa ndege ni mahali pa ...')
 
No edit summary
 
Kama uwanja wa ndege pana huduma za [[uhamiaji]] na [[forodha]] unaweza kuitwa “Uwanja wa ndege wa kimataifa” na mara nyingi ni kubwa kuliko uwanja unaohudumia usafiri ndani ya nchi pekee.
 
[[file:Airport_infrastructure.png|thumb|600px|Muundo wa Uwanja wa Ndege]]
==Miundombinu wa uwanja==
===Barabara za kutua na kuruka (runway)===
 
Pamoja na barabara za kutua na kuruka uwanja mkubwa unahitaji pia barabara za kando zinazowezesha ndege kutembea kutoka pande moja wa uwanja hadi nyingine bila kuzuia matumizi ya barabara ya kutua na kuruka kwa ndege nyingine. Maana kuna umbali wa kilomita 1 au zaidi kutoka kituo cha abiria (terminal) hadi chanzo cha barabara ya kuruka na kutua. Katika Nyanja kubwa kuna ndege inayofika au kuondoka kila baada ya dakika chache kwa hiyo kila wakati kuna ndege zinazotembea kutoka mwisho wa barabara ya kutua (baada ya kufika) hadi kituo cha abiria au kinyume kutoka kituo cha abiria kuelekea chanzo cha barabara ya kuruka.
[[file:Airport_infrastructure.png|thumb|600px|Muundo wa Uwanja wa Ndege]]
 
===Kituo cha abiria (terminal)===
Kituo cha abiria (terminal) ni jengo ambako abiria hufika ama kwa usafiri wa umma au kwa magari halafu kuingia kwenye ndege. Ni pia jengo ambako wanafika baada ya kunaliza safari kwa ndege. Kwa hiyo kituo hiki kinapaswa kuwa na nafasi za kuegesha magari pamoja na stendi za basi au hata kituo cha reli ndani au kando yake.

Urambazaji