Bongo Flava : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
d Masahihisho aliyefanya 41.222.181.154 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Addbot
d Aliulinda "Bongo Flava" ([Kuhariri=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho) [Kuhamisha=Zuia watumiaji wapya au wale ambao hawajajisajilisha] (bila mwisho))
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:41, 15 Septemba 2013

Kundi la Hip Hop Kutoka Kaskazini mwa Tanzania 'Arusha' ( Nako 2 Nako )

Bongo Flava ni muziki kutoka Tanzania. Bongo Flava sio staili moja ya muziki, ilamu ni mseto wa staili za muziki ambazo zimepewa umaarufu na ubunifu mkubwa kwa vijana nchini Tanzania, hasa katika jiji la Dar Es Salaam. Ni mchangayiko wa R&B, Rap, Hip Hop, na midundo ya asili, n.k. Muziki huu hujulikana pia kwa jina la Muziki wa Kizazi Kipya.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bongo Flava kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.