Isimu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Kaondosha yaliyomo
d Masahihisho aliyefanya 105.165.161.245 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Legobot
Mstari 1: Mstari 1:
'''Isimu''' (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza [[lugha]]. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:
* [[fonetiki]] kuhusu sauti zinazotolewa na binadamu
* [[fonolojia]] kuhusu mfumo wa sauti katika lugha fulani
* [[mofolojia]] kuhusu mfumo wa maneno
* [[sintaksi]] kuhusu mfumo wa sentensi
* [[semantiki]] kuhusu maana

== Marejeo ==
* [[TUKI]] 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]
* Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

== Tazama pia ==
* [[Lango:Lugha|Lango la lugha]]

{{mbegu-sayansi}}

[[Jamii:Isimu|*]]
[[Jamii:Lugha|Isimu]]
[[Jamii:Sayansi|Isimu]]

{{Link FA|bn}}
{{Link FA|gv}}

Pitio la 10:45, 25 Agosti 2013

Isimu (au "maarifa ya lugha") ni sayansi inayochunguza lugha. Imegawiwa katika matawi mbalimbali:

Marejeo

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isimu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA