Sifa nne za Kanisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sifa nne za Kanisa''', ambazo zinalitambulisha Kanisa la kweli kati ya makundi mengi ya Ukristo ni kuwa moja, takatifu, Katoliki, la Mitume wa ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:30, 17 Julai 2013

Sifa nne za Kanisa, ambazo zinalitambulisha Kanisa la kweli kati ya makundi mengi ya Ukristo ni kuwa moja, takatifu, Katoliki, la Mitume.

Sifa hizo zilitajwa na Mtaguso wa kwanza wa Konstantinopoli (381) uliporefusha Kanuni ya Imani iliyotungwa na Mtaguso wa kwanza wa Nisea (325).

Ndiyo sababu zinakubaliwa na madhehebu mengi, ingawa zinatafsiriwa kwa namna tofautitofauti.

Marejeo

Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sifa nne za Kanisa kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.