Nyuki : Tofauti kati ya masahihisho
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3678601 (translate me) |
Masahihisho |
||
Mstari 2: | Mstari 2: | ||
| rangi = pink |
| rangi = pink |
||
| jina = Nyuki |
| jina = Nyuki |
||
| picha = |
| picha = Xylocopa caffra Female.jpg |
||
| upana_wa_picha = 300px |
| upana_wa_picha = 300px |
||
| maelezo_ya_picha = |
| maelezo_ya_picha = Kike wa nyuki-mbao (''Xylocopa caffra'') |
||
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama) |
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama) |
||
| faila = [[Arthropodi|Arthropoda]] (Wanyama wenye miguu yenye viungo) |
| faila = [[Arthropodi|Arthropoda]] (Wanyama wenye miguu yenye viungo) |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
*[[Xylocopinae]] |
*[[Xylocopinae]] |
||
}} |
}} |
||
⚫ | '''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao wanaokusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama chakula chao. [[Spishi]] inayojulikana hasa ni [[nyuki-asali]] (''[[Apis mellifera]]'') ambaye hufugwa kila mahali duniani. Kuna spishi zaidi ya 20,000 zinazojumlishwa na biolojia kati ya nyuki lakini ni wale wa jenasi ''[[Apis]]'' wanaotengeneza [[asali]] inayovunwa na wanadamu. |
||
⚫ | '''Nyuki''' ni [[mdudu|wadudu]] wa [[familia (biolojia)|familia]] [[Apidae]] wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao wanaokusanya [[mbelewele]] na [[mbochi]] ya [[maua]] kama chakula chao. |
||
Nyuki-asali mara nyingi wanafugwa lakini wengine wanaishi porini na asali yao inakusanywa kwa kuvunja mzinga wao. Katika Afrika kwa jumla sehemu ya asali bado inatokana na nyuki asali wa porini lakini ufugaji nyuki unapanua. |
|||
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]] |
[[Picha:HoneyBeeAnatomy.svg|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]] |
||
Mstari 32: | Mstari 29: | ||
== Wadudu wa kijamii == |
== Wadudu wa kijamii == |
||
Spishi kadhaa za nyuki ni wadudu wa kijamii maana yake wanaishi katika kundi si peke yao kama aina nyingine za nyuki. Wanajenga [[sega]] ya [[nta]] ndani ya [[mzinga wa nyuki]] na humu wanatunza asali [[yao]]. |
|||
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi na mzinga wao ambao ni |
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi na mzinga wao ambao ni |
||
Mstari 38: | Mstari 35: | ||
* nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kumlisha malkia na majana, kultetea mzinga |
* nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kumlisha malkia na majana, kultetea mzinga |
||
* nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kukwea malkia lakini si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena |
* nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kukwea malkia lakini si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena |
||
==Spishi na nususpishi za Afrika== |
|||
* ''Apis mellifera'' |
|||
** ''Apis m. adansonsii'', [[Nyuki-asali wa Adanson]] |
|||
** ''Apis m. capensis'', [[Nyuki-asali kusi]] |
|||
** ''Apis m. intermissa'', [[Nyuki-asali mweusi]] |
|||
** ''Apis m. jemenitica'', [[Nyuki-asali wa Pembe la Afrika]] |
|||
** ''Apis m. lamarckii'', [[Nyuki-asali wa Lamarck]] |
|||
** ''Apis m. litorea'', [[Nyuki-asali pwani]] |
|||
** ''Apis m. major'', [[Nyuki-asali wa Maroko]] |
|||
** ''Apis m. monticola'', [[Nyuki-asali milimani]] |
|||
** ''Apis m. nubica'', [[Nyuki-asali wa Sudani]] |
|||
** ''Apis m. sahariensis'', [[Nyuki-asali jangwani]] |
|||
** ''Apis m. scutellata'', [[Nyuki-asali wa Afrika]] |
|||
** ''Apis m. unicolor'', [[Nyuki-asali wa Madagaska]] |
|||
==Spishi za Asia== |
|||
* ''Apis florea'' ([[w:Apis florea|Red Dwarf Honey Bee]]) |
|||
* ''Apis andreniformis'' ([[w:Apis andreniformis|Black Dwarf Honey Bee]]) |
|||
* ''Apis dorsata'' ([[w:Apis dorsata|Giant Honey Bee]]) |
|||
* ''Apis cerana'' ([[w:Apis cerana|Asiatic Honey Bee]]) |
|||
* ''Apis nigrocincta'' ([[w:Apis nigrocincta|Philippine Honey Bee]]) |
|||
{{commonscat|Bee|Nyuki}} |
{{commonscat|Bee|Nyuki}} |
Pitio la 10:26, 17 Julai 2013
Nyuki | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kike wa nyuki-mbao (Xylocopa caffra)
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Nusufamilia 3: |
Nyuki ni wadudu wa familia Apidae wenye mabawa manne angavu na mwiba kwenye nyuma ya mwili wao wanaokusanya mbelewele na mbochi ya maua kama chakula chao. Spishi inayojulikana hasa ni nyuki-asali (Apis mellifera) ambaye hufugwa kila mahali duniani. Kuna spishi zaidi ya 20,000 zinazojumlishwa na biolojia kati ya nyuki lakini ni wale wa jenasi Apis wanaotengeneza asali inayovunwa na wanadamu.
Mwili wa nyuki
Mwili una pande tatu jinsi ilvyo kwa wadudu wote: kichwa mbele, kidari katikati na tumbo nyuma, halafu jozi tatu za miguu na jozi mbili za mabawa.
Mwili huwa na nywele na ina rangi kali za njano-nyeusi kama onyo dhidi ya maadui.
Nyuma ya tumbo wanabeba mwiba wanaotumia kudunga wakijisikia wameshambuliwa. Wakidunga mwiba wanaingiza pia kiasi kidogo cha sumu katika kidonda. Sumu hii inasababisha maumivu na watu wengine wanaathiriwa vikali lakini si kila mtu. Kuna nyuki wanaokufa baada ya kudunga kwa sababu mwiba unabaki kwenye kidonda lakini wengine wanaweza kutoa mwiba na kudunga tena.
Wadudu wa kijamii
Spishi kadhaa za nyuki ni wadudu wa kijamii maana yake wanaishi katika kundi si peke yao kama aina nyingine za nyuki. Wanajenga sega ya nta ndani ya mzinga wa nyuki na humu wanatunza asali yao.
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi na mzinga wao ambao ni
- malkia wa nyuki ni mama wa nyuki wote ndani ya kundi na kazi yake ni kutaga mayai pekee
- nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama kukusanya mbelewele na mbochi, kusafisha mzinga, kutengeneza nta, kujenga sega, kumlisha malkia na majana, kultetea mzinga
- nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kukwea malkia lakini si yule wa mzinga wake kwa kawaida; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nyuki kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |