Rosa Parks : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 56: Mstari 56:
[[sr:Роза Паркс]]
[[sr:Роза Паркс]]
[[sv:Rosa Parks]]
[[sv:Rosa Parks]]
[[ta:றோசா பாக்ஸ்]]
[[tl:Rosa Parks]]
[[tl:Rosa Parks]]
[[tr:Rosa Parks]]
[[tr:Rosa Parks]]

Pitio la 02:28, 21 Novemba 2007

Rosa Parks wakati alipokamatwa kwa kosa la kutomwachia kiti chake Mwamerika Mzungu

Rosa Louise McCauley Parks (Februari 4, 1913Oktoba 24, 2005) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.

Viungo vya nje