Simu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 129 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11035 (translate me)
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:


{{mbegu-sayansi}}
{{mbegu-sayansi}}

== Viunganish vya nje ==

* [http://www.kodi-ya-simu.info/nambari-ya-simu.php Kikokotozi cha nambari ya simu kwa simu za kimataifa]


[[Jamii:Mawasiliano]]
[[Jamii:Mawasiliano]]

Pitio la 17:15, 27 Mei 2013

Simu

Simu (kutoka kar. سیم sim inayomaanisha "waya") ni chombo cha umeme. Mamtumizi ya simu, ni kwa ajili ya watu wawili waliokatika sehemu mbili tofauti na wanaweza kuongea. Bimaana ni chombo cha mawasilianoanga. Awali simu ilihitajika iuanganishwe na nyaya. Lakini leo hii simu inaweza kutumwa kwa kutumia redio. Hii nayo inaitwa nyayatupu, siwaya au simu bila waya.

Watu wengi wanaamini kuwa sumu iligunduliwa mnamo 1876 na Alexander Graham Bell. Alikuwa mtu mwenye umri wa miaka 29 aliyeishi nchini Marekani akiwa kama Muuskoti. Lakini Antonio Meucci alianzisha na kuanza kutoa matumizi ya simu toka kunako mwaka wa 1871 huko Marekani. historia ya simu haijaingizwa.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Viunganish vya nje