Joseph Pulitzer : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 46 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q173417 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox_Person
[[Picha:Pulitzer.jpg|thumb|right|Joseph Pulitzer]]
| jina =
| nchi =
| majina_mengine =
| picha =
| ukubwawapicha =
| maelezo_ya_picha =
| jina_la_kuzaliwa =
| tarehe_ya_kuzaliwa =
| mahala_pa_kuzaliwa =
| tarehe_ya_kufariki =
| mahala_alipofia =
| sababu_ya_kifariki =
| anajulikana kwa =
| kazi_yake =
| cheo =
| mshahara =
| kipindi =
| alitanguliwa_na =
| akafuatiwa_na =
| chama =
| bodi =
| dini =
| ndoa =
| rafiki =
| watoto =
| mahusiano =
| tovuti =
| maelezo =
| mwajiri =
| urefu =
| uzito =
}}

'''Joseph Pulitzer''' ([[10 Aprili]] [[1847]] – [[29 Oktoba]] [[1911]]) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya [[Marekani]]; lakini alizaliwa nchi ya [[Hungaria]]. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya [[Chuo Kikuu cha Columbia]] iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa '''[[Tuzo ya Pulitzer]]''' kwa ajili ya maandishi hodari.

Pitio la 15:42, 11 Mei 2013

Joseph Pulitzer (10 Aprili 184729 Oktoba 1911) alikuwa mhariri wa magazeti kutoka nchi ya Marekani; lakini alizaliwa nchi ya Hungaria. Alinunua magazeti mbalimbali na kusimamia uhariri wao. Katika hati ya wasia yake alisaidia kuanzisha Idara ya Uandikaji Habari ndani ya Chuo Kikuu cha Columbia iliyofunguliwa mwaka wa 1912. Tangu 1917, chuo hicho kimetoa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya maandishi hodari.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joseph Pulitzer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.