Pearl S. Buck : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 64 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q80900 (translate me)
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox_Person
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
| jina = Pearl Sydenstricker Buck
[[Picha:Pearl_Buck.jpg|thumb|right|Pearl S. Buck, mwaka wa 1932]]
| nchi = [[Marekani]]
| majina_mengine =
| picha = Pearl Buck 1972.jpg
| ukubwawapicha = 200px
| maelezo_ya_picha = Pearl mnamo 1972
| jina_la_kuzaliwa =
| tarehe_ya_kuzaliwa = [[26 Juni]] [[1892]]
| mahala_pa_kuzaliwa = Virginia, Marekani
| tarehe_ya_kufariki = [[6 Machi]] [[1973]]
| mahala_alipofia = Vermont, Marekani
| sababu_ya_kifariki =
| anajulikana kwa =
| kazi_yake = Mwandishi, Mwalimu
| cheo =
| mshahara =
| kipindi =
| alitanguliwa_na =
| akafuatiwa_na =
| chama =
| bodi =
| dini =
| ndoa = John Lossing Buck (1917–1935)<br>Richard Walsh (1935–1960)
| rafiki =
| watoto =
| mahusiano =
| tovuti =
| maelezo =
| mwajiri =
| urefu =
| uzito =
}}

'''Pearl Buck''' ([[26 Juni]] [[1892]] – [[6 Machi]] [[1973]]) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya [[Marekani]]. Jina lake la kuzaliwa ni ''Pearl Comfort Sydenstricker''; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la ''John Sedges''. Anajulikana hasa kwa [[riwaya]] zake juu ya maisha katika nchi ya [[Uchina]] ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.

Pitio la 15:20, 9 Mei 2013

Pearl Sydenstricker Buck

Amezaliwa 26 Juni 1892
Virginia, Marekani
Amekufa 6 Machi 1973
Vermont, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi, Mwalimu
Ndoa John Lossing Buck (1917–1935)
Richard Walsh (1935–1960)

Pearl Buck (26 Juni 18926 Machi 1973) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Pearl Comfort Sydenstricker; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la John Sedges. Anajulikana hasa kwa riwaya zake juu ya maisha katika nchi ya Uchina ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pearl S. Buck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.