Nabii wa uongo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '200px|thumb|Hatima ya nabii wa uongo kadiri ya [[Ufu 16, ilivyochorwa na Beatus de Facundus, 1047.]] Katika dini, '''na...'
 
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1993310 (translate me)
Mstari 10: Mstari 10:
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Dini]]
[[Jamii:Manabii]]
[[Jamii:Manabii]]

[[it:Falso profeta]]

Pitio la 21:23, 2 Aprili 2013

Hatima ya nabii wa uongo kadiri ya Ufu 16, ilivyochorwa na Beatus de Facundus, 1047.

Katika dini, nabii wa uongo ni mtu anayejidai kuwa na karama ya unabii lakini hakubaliwi na wale wanaomuita hivyo.

Anaweza kuwa nabii kweli, au kujidanganya au kudanganya kwa makusudi ili kujipatia sifa na mali.

Nje ya dini, mtu anaitwa hivyo kwa kutetea hoja au mpango ambao msemaji anaona ni mbaya.