Madhara yasiyokusudiwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q45939 (translate me)
Mstari 23: Mstari 23:
[[Jamii:Majeruhi wa kivita]]
[[Jamii:Majeruhi wa kivita]]
[[Jamii:Siasa]]
[[Jamii:Siasa]]

[[en:Collateral damage]]

Pitio la 21:23, 2 Aprili 2013

Madhara yasiyolengwa, Uharibifu wa nyongeza, au Uharibifu wa Ziada (kutoka Kiingereza: Collateral damage) ni istilahi ya kutaja tukio linatokea katika hali ambayo siyo iliyokusudiwa. Istilahi hii hasa hutumika kijeshi katika hali ya kutaja uharibifu wa mali za raia au watu majeruhi ambao si wapiganaji, yaani, raia ya wa kawaida tu.[1]

Mfano ni wakati wa matumizi ya silaha kama mzinga, bomu au kombora dhidi ya wanajeshi adui nyumba za kiraia au watu raia wanaweza kupigwa ama kwa kosa au kutokana na ukali wa mlipuko.

Marejeo

Viungo vya Nje