Westlands (Nairobi) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kuongeza mabano
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q7193729 (translate me)
Mstari 16: Mstari 16:


[[Jamii:Mitaa ya Nairobi]]
[[Jamii:Mitaa ya Nairobi]]

[[en:Westlands]]
[[sv:Westlands]]

Pitio la 05:56, 14 Machi 2013

Waiyaki Way karibu na Kangemi, Westlands Nairobi

Westlands ni mtaa wa jiji la Nairobi (Kenya) ulioendelea kuwa kitovu cha kibiashara kando la Nairobi mjini penyewe. Westlands iko kando la barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya tarafa nane za Mkoa wa Nairobi.

Hadi miaka ya 1980 Westlands ilikuwa sehemu tulivu ya nyumba za watu na maduka machache ikahesabiwa kuwa sehemu ya Parklands. Katika nusu ya pili ya miaka ya 1980 majengo makubwa ya maduka kama "The Mall" na baadaye "Sarit Center" yalijengwa yaliofuatwa na nyumba za ofisi. Wenye biashara na ofisi wamependa Westlands kwa sababu inafikiwa kirahisi kutoka pande za kaskazini na magharibi za Nairobi bila kuingia katika msongamano wa magari mjini penyewe pia kwa sababu hali ya usalama barabarani ni afadhali.

Tarafa ya Westlands

Westlands ni pia jina la tarafa inayounganisha maeneo penye nyumba nzuri kama vile Lavington au Highridge lakini pia mitaa ya vibanda kama Kangemi.

Pamoja na kitovu cha kibiashara karibu na kipilefti ya Westlands kuna divisheni zuifuatazo: