Konrad wa Parzham : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|240px|Mt. Konrad akiwa amevaa [[kanzu ya utawa wake.]] '''Konrad wa Parzham O.F.M. Cap.''' ni jina la kitawa la ...'
 
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 9 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q16785 (translate me)
Mstari 19: Mstari 19:
[[Category:Wafransisko]]
[[Category:Wafransisko]]
[[Category:Watakatifu wa Ujerumani]]
[[Category:Watakatifu wa Ujerumani]]

[[de:Konrad von Parzham]]
[[el:Άγιος αδελφός Κόνραντ του Αλτέτινγκ]]
[[en:Conrad of Parzham]]
[[es:Conrado de Parzham]]
[[fr:Conrad de Parzham]]
[[it:Corrado da Parzham]]
[[nl:Koenraad van Parzham]]
[[pl:Konrad z Parzham]]
[[pt:Conrado de Parzham]]

Pitio la 17:13, 11 Machi 2013

Faili:ConradParzham.jpg
Mt. Konrad akiwa amevaa kanzu ya utawa wake.

Konrad wa Parzham O.F.M. Cap. ni jina la kitawa la Yohane Birndorfer, ambaye alizaliwa Bad Griesbach, Passau, Ufalme wa Bavaria, leo nchini Ujerumani mwaka 1818, akafariki Altötting, Bavaria, 1894.

Alikuwa bruda wa shirika la Wakapuchini na kufanya kazi ya bawabu kwenye patakatifu pa Altötting kwa miaka 40 na zaidi.

Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri mwaka 1930 na mtakatifu mwaka 1934.

Tanbihi

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.