Kiirigwe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +Multitree, +ramani using AWB
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q3912756 (translate me)
Mstari 10: Mstari 10:
{{DEFAULTSORT:Irigwe}}
{{DEFAULTSORT:Irigwe}}
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]

[[en:Rigwe language]]
[[pms:Lenga Irigwe]]

Pitio la 17:03, 11 Machi 2013

Kiirigwe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wairigwe. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kiirigwe imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiirigwe kiko katika kundi la Plateau.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiirigwe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.