Kindi (mnyama) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Boti: Inarbadilisha ang:Ācƿeorna hadi ang:Ācweorna
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 96 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9482 (translate me)
Mstari 100: Mstari 100:
[[Jamii:Kindi na jamaa]]
[[Jamii:Kindi na jamaa]]
[[Jamii:Wanyama wa Afrika]]
[[Jamii:Wanyama wa Afrika]]

[[af:Eekhoring]]
[[an:Sciuridae]]
[[ang:Ācweorna]]
[[ar:سنجابيات]]
[[ast:Esguilu]]
[[az:Sincablar]]
[[be:Вавёркавыя]]
[[be-x-old:Вавёркавыя]]
[[bg:Катерицови]]
[[bn:কাঠবিড়ালী]]
[[bo:ནགས་བྱི།]]
[[br:Sciuridae]]
[[bs:Vjeverice]]
[[ca:Esciúrid]]
[[ce:Тарсал]]
[[ceb:Sciuridae]]
[[chy:No'kéeho]]
[[cs:Veverkovití]]
[[cy:Gwiwer]]
[[da:Egern]]
[[de:Hörnchen]]
[[el:Σκίουρος]]
[[en:Squirrel]]
[[eo:Sciuredoj]]
[[es:Sciuridae]]
[[et:Oravlased]]
[[eu:Esziurido]]
[[fa:سنجاب]]
[[fi:Oravat]]
[[fr:Sciuridae]]
[[ga:Iora]]
[[gl:Esquío]]
[[gv:Fiorag]]
[[he:סנאיים]]
[[hi:गिलहरी]]
[[hr:Vjeverice]]
[[hu:Mókusfélék]]
[[id:Bajing]]
[[io:Skurelo]]
[[it:Sciuridae]]
[[ja:リス]]
[[ka:ციყვისებრნი]]
[[kbd:КӀэпхъ]]
[[kk:Тиіндер]]
[[kn:ಅಳಿಲು]]
[[ko:다람쥐과]]
[[ku:Sihor]]
[[kv:Ур]]
[[la:Sciurus]]
[[lb:Kaweechelcher]]
[[lbe:Бюрхттукку]]
[[lt:Voveriniai]]
[[lv:Vāveres]]
[[mhr:Ур]]
[[mk:Верверици]]
[[ml:അണ്ണാൻ]]
[[mr:खार]]
[[ms:Tupai]]
[[my:ရှဉ့်]]
[[myv:Ур]]
[[nds-nl:Kateker]]
[[nl:Eekhoorns]]
[[nn:Ekornfamilien]]
[[no:Ekornfamilien]]
[[nrm:Jaqùet]]
[[nso:Sehlora]]
[[nv:Hazéí]]
[[oc:Sciuridae]]
[[os:Æхсæрсæттæг]]
[[pap:Djaca di caña]]
[[pl:Wiewiórkowate]]
[[pnb:گالڑ]]
[[pt:Esquilo]]
[[qu:Antharu]]
[[ro:Veveriță]]
[[roa-rup:Ververa]]
[[ru:Беличьи]]
[[sa:चिक्रोड़ः]]
[[sah:Тииҥниҥилэр кэргэннэрэ]]
[[simple:Squirrel]]
[[sl:Prave veverice]]
[[sn:Tsindi]]
[[sq:Ketri]]
[[sr:Веверица]]
[[srn:Ekosi]]
[[su:Bajing]]
[[sv:Ekorrar]]
[[ta:அணில்]]
[[te:ఉడుత]]
[[th:กระรอก]]
[[tl:Iskwirel]]
[[tr:Sincap]]
[[uk:Вивіркові]]
[[vi:Họ Sóc]]
[[zh:松鼠]]
[[zh-min-nan:Phòng-chhí]]

Pitio la 16:56, 11 Machi 2013

Kindi
Kindi-jua kijivu (Heliosciurus gambianus)
Kindi-jua kijivu (Heliosciurus gambianus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Rodentia (Wagugunaji)
Nusuoda: Sciuromorpha (Wanyama kama kindi)
Familia: Sciuridae (Wanyama walio na mnasaba na kindi)
Muirhead, 1819
Ngazi za chini

Nusufamilia 5:
Callosciurinae
Ratufinae
Sciurinae
Sciurillinae
Xerinae

Kindi ni wanyama wadogo wa familia Sciuridae. Spishi nyingine huitwa kidiri au kuchakulo. Wanatokea Amerika, Ulaya, Asia na Afrika na wamewasilishwa katika Australia. Takriban spishi zote huishi mitini, lakini kuchakulo huishi ardhini. Mkia wa kindi una urefu karibu na ule wa mwili, pengine zaidi. Hula mbegu, makokwa, matunda, nyoga, tumba na machipukizi. Wakati ambapo chakula cha kimea ni adimu, kindi hula chakula cha kinyama pia, k.f. wadudu, mayai, ndege wadogo, makinda ya nyoka na wagugunaji wadogo. Spishi kadhaa za tropiki hula wadudu kushinda chakula cha kimea.

Uainishaji

  • Nusufamilia Ratufinae – Kindi majitu (jenasi 1, spishi 4)
  • Nusufamilia Sciurillinae – Kindi kibete wa Amerika (spishi 1)
  • Nusufamilia Sciurinae
    • Kabila Sciurini – Kindi wa Amerika, Ulaya na Asia (jenasi 5, mnamo spishi 38)
    • Kabila Pteromyini – Kindi warukaji wa Asia (jenasi 15, mnamo spishi 45)
  • Nusufamilia Callosciurinae
    • Kabila Callosciurini – Kindi wazuri wa Asia (13 genera, nearly 60 species)
    • Kabila Funambulini – Kindi milia wa Asia (jenasi 1, spishi 5)
  • Nusufamilia XerinaeKuchakulo, kindi wa Afrika na vidiri
    • Kabila Xerini – Kuchakulo wa Afrika (jenasi 3, spishi 6)
    • Kabila Protoxerini – Kindi na vidiri (jenasi 6, mnamo spishi 50)
    • Kabila Marmotini – Kuchakulo wa Ulaya, Asia na Amerika (jenasi 6, mnamo spishi 90)

Spishi za Afrika

Spishi za kabla ya historia

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kindi (mnyama) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.