Gobori : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: hr:Sprednjača
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 13 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1461850 (translate me)
Mstari 21: Mstari 21:


[[Category:Silaha]]
[[Category:Silaha]]

[[de:Vorderlader]]
[[en:Muzzleloader]]
[[fa:تفنگ سرپر]]
[[fr:Arme à chargement par la bouche]]
[[hr:Sprednjača]]
[[it:Avancarica]]
[[ja:マズルローダー]]
[[nl:Voorlader (wapen)]]
[[no:Munningsladevåpen]]
[[pl:Broń odprzodowa]]
[[ru:Дульнозарядное ружьё]]
[[sh:Sprednjača]]
[[sv:Mynningsladdare]]

Pitio la 14:38, 11 Machi 2013

Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto

Gobori ni silaha ya moto asilia. Ni aina ya bunduki ya kimsingi ambako risasi pamoja na baruti zinaingizwa pamoja kwenye mdomo wa kasiba ya silaha na risasi inafyatuliwa kwa kupasha moto kwenye shimo upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia ramia zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.

Hadi leo kuna aina kadhaa za mizinga zinazojazwa ramia kupitia mdomoni kama gobori. Menginevyo gobori siku hizi ni silaha inayotumiwa kwa michezo au kutengenezwa na watu nyumbani kwa uvindaji haramu.

Kijeshi silaha hizi hazitumiwi tena tangu karne ya 19 kwa sababu matumizi yake ni ya polepole kulingana na bunduki za kisasa. Gobori inaweza kupigwa mara 1-2 kwa dakika si haraka zaidi kama askari ameandaa tayari mizigo midogo ya baruti tayari kwa kila safari ya kupiga. Bunduki zinazotumia ramia zinaweza kupiga mara nyingi kwa dakika.

Tazama pia

Viungo vya Nje