Maporomoko ya Niagara : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 92 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34221 (translate me) |
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q34221 (translate me) |
||
Mstari 24: | Mstari 24: | ||
{{Link FA|ast}} |
{{Link FA|ast}} |
||
{{Link FA|it}} |
{{Link FA|it}} |
||
[[ka:ნიაგარის ჩანჩქერი]] |
Pitio la 12:04, 11 Machi 2013
Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls) ni mfululizo wa maporomoko ya mto Niagara yaliyopo mpakani mwa Kanada na Marekani kati ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario. Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.
Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu
- Horseshoe Falls (maporomoko ya mguu wa farasi, yanaitwa pia maporomoko ya Kikanada)
- Maporomoko ya Kimarekani
- Maporomoko ya Bridal Veil (utaji wa bibi arusi)
Ni kitovu cha utalii katika Amerika ya Kaskazini kinachotembelewa na watalii wngi sana.
Kuna miji miwili inayoitwa Niagara Falls upande wa Kanada na mwingine upande wa Marekani.