Gloria Macapagal Arroyo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Gloria Macapagal Arroyo
Mstari 14: Mstari 14:


[[Category:Watu wa Ufilipino]]
[[Category:Watu wa Ufilipino]]
[[Category:Nchi ya Ufilipino]]
[[Category:Watu na Maisha]]
[[Category:Marais wa Bala la Asia]]
[[Category:Waliozaliwa 1947]]
[[Category:Waliozaliwa 1947]]



Pitio la 08:38, 8 Novemba 2007

Rais wa Ufilipino Gloria Macapagal Arroyo

Gloria Macapagal Arroyo (Amezaliwa tar. 5 Aprili, 1947) Pia anafamika kwa jina la ufupi kama G.M.A, ni rais wa 14 wa Ufilipino, Ambaye kwa sasa ndiye anae ongoza nchi ya Ufilipino.

Ni rais wa pili wa kike kuongoza nchi ya Ufilipino baada ya Corazon Aquino. ni binti wa rais wa zamani wa Ufilipino mzee Diosdado Macapagal. Kabla ya kuwa rais, mwanzoni alikuwa makamo wa rais wa Ufilipino.

Viungo vya Nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons