Mto Nairobi : Tofauti kati ya masahihisho
d →Viungo vya nje: +link |
d Bot: Migrating 7 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1233042 (translate me) |
||
Mstari 51: | Mstari 51: | ||
{{Kenya-geo-stub}} |
{{Kenya-geo-stub}} |
||
[[ca:Riu Nairobi]] |
|||
[[de:Nairobi (Fluss)]] |
|||
[[el:Ποταμοί Ναϊρόμπι]] |
|||
[[en:Nairobi River]] |
|||
[[et:Nairobi jõgi]] |
|||
[[ka:ნაირობი (მდინარე)]] |
|||
[[sv:Nairobifloden]] |
Pitio la 05:46, 11 Machi 2013
Mto Nairobi ni mto unaopitia katika mji mkuu wa Kenya,Nairobi. Ndio mto mkuu katika Bakuli la mito la Nairobi , mtandao wa mito kadhaa inayopita sambamba kuelekea mashariki. Mito yote katika bakuli la mito ya Nairobi hukutana katika mashariki ya Nairobi na kuungana na Mto Athi, hatimaye kuelekea Bahari ya Hindi. Mmingi ya mito hii ni miembamba na chafu sana. Mkondo kuu, Mto Nairobi, umeweka mpaka wa kaskazini mwa jiji. Mto huu umefanywa kanali katika sehemu zingine.
Mto Nairobi una vijito kadhaa, kama vile (katika utaratibu wa kushuka kutoka kaskazini hadi kusini):
- Mto Ruiru
- Mto Kamiti
- Rui Ruaka
- Mto Karura
- Mto Gitathuru (aka Getathuru)
- Mto Mathare
- Mto Nairobi (kanali kuu)
- Kirichwa
- Mto Motoine-Ngong
Mto Motoine unafululiza katika Dimbwi la Nairobi, ziwa lililofanywa na wanadamu kutoa maji ya kunywa kwa wakazi wa Nairobi. Mbele zaidi huendelea kama Mto Ngong.
Mito ya Nairobi huchafuliwa na uchafu kutoka kilimo, makazi duni na viwanda[1] Baadhi ya kingo za mito pia zinajulika kwa sifa mbaya ya ukosefu wa usalama. Mito hii hugawanya mji kutokana na ukosefu wa mapito yafaayo.
Wakati wa misimu ya mvua maji huongezeka, na kusababisha athari ya mafuriko katika mito yenye kingo zilizo chini.
Kuna mto wa pili uitwao Nairobi nchini Kenya. Huanza juu ya Mlima Kenya na ni kijito cha mito Sagana na Tana, mto mrefu zaidi nchini Kenya[2].
Ramani
Marejeo
- ↑ [0] ^ Biosafety News, Oktoba / Novemba 2002: Uchafuzi wa Mto Nairobi tisho kwa afya
- ↑ Rough Guide (2006). Rough Guide Map Kenya [map], 9 edition, 1:900,000, Rough Guide Map. Cartography by World Mapping Project. ISBN 1-84353-359-6.
Viungo vya nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Nairobi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |