Arusha : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
picha mbili
No edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''Arusha, mkoa ([[Mkoa wa Arusha]]), wilaya na mji''' katika [[Tanzania]] kazkazini-mashariki.
'''Arusha, mkoa ([[Mkoa wa Arusha]]), wilaya na mji''' katika [[Tanzania]] kazkazini-mashariki.


'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970). Eneo lake ni 1400m juu ya [[uwiano wa bahari]] likiwa karibu na mlima wa [[Meru]] (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.
'''Mji wa Arusha''' ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania.
Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970 ). Eneo lake ni 1400 m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa [[Meru]] (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.


Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961.
Arusha ina nafasi muhimu katika [[Historia ya Tanzania]] na Afrika. Mji umeanzishwa na [[Wajerumani]] mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961. Mw. 1967 chama tawala cha [[TANU]] kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha [[Ujamaa]]. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] hadi kuanguka kwa umoja huu. Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo. Arusha ni makao makuu ya [[KKKT]], ambayo ni ofisi kuu ya [[Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania]].
Mw. 1967 chama tawala cha [[TANU]] kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha [[Ujamaa]]. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya [[Jumuiya ya Afrika Mashariki]] hadi kuanguka kwa umoja huu.
Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo.
Arusha ni makao makuu ya [[KKKT]], ambayo ni ofisi kuu ya [[Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania]].


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
* [http://www.ntz.info/gen/b00864.html Historia ya Arusha] (Kiingereza)
* {{en}} [http://www.ntz.info/gen/b00864.html Historia ya Arusha]


[[af:Arusha]]
[[af:Arusha]]

Pitio la 07:29, 27 Aprili 2006

Mji wa Arusha
Faili:Arusha.jpg
Arusha na mlima wa Meru

Arusha, mkoa (Mkoa wa Arusha), wilaya na mji katika Tanzania kazkazini-mashariki.

Mji wa Arusha ni kati ya miji kumi mikubwa ya Tanzania. Kuna wakazi 341,155 (mw. 2005 – kutoka mn. 50,000 mw. 1970). Eneo lake ni 1400m juu ya uwiano wa bahari likiwa karibu na mlima wa Meru (4565m). Utalii na kilimo ni mgongo wa uti wa uchumi. Kwa sababu ya idadi kubwa ya watalii mji umepachikwa jina la “Dar-es-Safari”. Kuna pia viwanda muhimu vya kahawa, kusaga nafaka, kusafisha ukonge, kukuza maua za kuleta nje, pombe ya bia.

Arusha ina nafasi muhimu katika Historia ya Tanzania na Afrika. Mji umeanzishwa na Wajerumani mnamo mw. 1899. Ndipo hapo ya kwamba wakoloni Waingereza walitoa sahihi hati ya kuitolea Tanganyika uhuru mw. 1961. Mw. 1967 chama tawala cha TANU kiliunga mkono Tamko la Arusha lililoanzisha kipindi cha Ujamaa. Kuanzia mw. 1967 hadi mw. 1977 Arusha ndipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi kuanguka kwa umoja huu. Tangu mw. 1995 Mahakama ya Kimataifa ya Ruanda ina makao hapo. Arusha ni makao makuu ya KKKT, ambayo ni ofisi kuu ya Kanisa la Kiinjili Kiluteri Tanzania.

Viungo vya nje