Tofauti kati ya marekesbisho "Nabii Yoeli"

Jump to navigation Jump to search
144 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|right|Nabii Yoeli alivyochorwa na [[Michelangelo katika kuta za Cappella Sistina, Vatikano.]] '''Nabii Yoeli''' ...')
 
No edit summary
'''Nabii Yoeli''' (kwa [[Kiebrania]] '''יואל''', ''Yoel'', maana yake [[YHWH]] ni [[Mungu]]) alikuwa [[nabii]] wa [[Israeli ya Kale]], labda katikati ya [[karne ya 4 KK]].
 
[[Ujumbe]] wake unapatikana katika [[gombo]] la [[Manabii Wadogo]] la [[Biblia]], kwa jina la [[Kitabu cha Yoeli]].
 
Anaheshimiwa kama [[mtakatifu]]. [[Sikukuu]] yake huwa tarehe [[19 Oktoba]].
 
{{mbegu-mtu-Biblia}]}
 
== Viungo vya nje ==
* [http://www.chabad.org/library/article_cdo/aid/464027/jewish/Four-Prophets.htm Four Prophets] at Chabad.org
{{commons}}
 

Urambazaji