Nouméa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 48 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q9733 (translate me)
d The file Image:Kiosque.jpg has been removed, as it has been deleted by commons:User:Neozoon: ''undo temp undeletion of https://commons.wikimedia.org/wiki/Commons:Deletion_requests/No_Freedom_of_Panorama_in_New_Caledonia_2012-11-29''. ''[[m:U...
 
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Kaledonia Mpya Grande terre.png|thumb|250px|Mahali pa Noumea kwenye kisiwa cha Grande Terre]]
[[Picha:Kaledonia Mpya Grande terre.png|thumb|250px|Mahali pa Noumea kwenye kisiwa cha Grande Terre]]

[[Picha:Kiosque.jpg|thumb|250px|Bustani kwenye kitovu cha mji]]
'''Noumea''' (pia: '''Numea''') ni mji mkuu wa [[Kaledonia Mpya]] (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - ''nuvel kaledoni'') ambayo ni [[eneo la ng'ambo la Ufaransa]] katika bahari ya [[Pasifiki]].
'''Noumea''' (pia: '''Numea''') ni mji mkuu wa [[Kaledonia Mpya]] (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - ''nuvel kaledoni'') ambayo ni [[eneo la ng'ambo la Ufaransa]] katika bahari ya [[Pasifiki]].

Toleo la sasa la 01:02, 10 Machi 2013

Mahali pa Noumea kwenye kisiwa cha Grande Terre

Noumea (pia: Numea) ni mji mkuu wa Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ambayo ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki.

Mji ulianzishwa mwaka 1854 kwa jina la "Port-de-France" (Bandari ya Ufaransa) kwenye rasi ya kusini ya kisiwa cha Grande Terre. Idadi ya wakazi wake imefikia watu 91.000.

Uchumi wa Noumea hutegema utalii pamoja na migodi ya nikeli.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Anwani ya kijiografia : 22°16'33"S, 66°27'29"E