Haramia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3rc2) (Roboti: Imeongeza fo:Sjórænarar
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 65 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q45393 (translate me)
Mstari 17: Mstari 17:
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|hr}}
{{Link FA|mk}}
{{Link FA|mk}}

[[ar:قرصنة]]
[[ast:Piratería]]
[[az:Dəniz quldurluğu]]
[[bat-smg:Pėrats]]
[[be:Пірацтва]]
[[bg:Пиратство]]
[[br:Morlaer]]
[[bs:Pirati]]
[[ca:Pirateria marítima]]
[[co:Piratu]]
[[cs:Pirát]]
[[cv:Пиратсем]]
[[cy:Môr-ladrad]]
[[da:Pirat]]
[[de:Piraterie]]
[[el:Πειρατεία]]
[[en:Piracy]]
[[eo:Pirato]]
[[es:Piratería]]
[[et:Piraadid]]
[[eu:Pirateria]]
[[fa:دزد دریایی]]
[[fi:Merirosvous]]
[[fo:Sjórænarar]]
[[fr:Pirate]]
[[ga:Foghlaí mara]]
[[gl:Piratería]]
[[he:שודדי ים]]
[[hi:समुद्री डकैती]]
[[hr:Pirati]]
[[hy:Ծովահենություն]]
[[id:Perompakan]]
[[io:Pirateso]]
[[is:Sjórán]]
[[it:Pirateria]]
[[ja:海賊]]
[[ka:მეკობრეობა]]
[[kk:Қарақшылық]]
[[ko:해적]]
[[kw:Morlader]]
[[la:Pirata]]
[[lt:Piratavimas]]
[[lv:Pirātisms]]
[[mk:Пиратство]]
[[my:ပင်လယ်ဓားပြ]]
[[nl:Zeeroverij]]
[[nn:Sjørøvar]]
[[no:Sjørøveri]]
[[oc:Pirata]]
[[pl:Pirat]]
[[pt:Pirata]]
[[ro:Piraterie]]
[[ru:Пиратство]]
[[sh:Pirat]]
[[sk:Pirát (námorný lupič)]]
[[sl:Gusar]]
[[so:Burcad Badeed]]
[[sr:Гусари]]
[[sv:Sjöröveri]]
[[th:โจรสลัด]]
[[tr:Korsan]]
[[uk:Піратство]]
[[vi:Cướp biển]]
[[zh:海盗]]
[[zh-min-nan:Hái-chha̍t]]

Pitio la 21:09, 9 Machi 2013

Bendera ya kihistoria ya maharamia Wazungu kwenye Atlantiki

Haramia ni jambazi anayefanya mambo yake kwenye gimba la maji hasa baharini.

Kufuatana na Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya sheria za bahari uharamia ni matendo ya jinai yoyote yanayotekelezwa baharini na mabaharia au maabiria wa meli binafsi dhidi ya meli nyingine au dhidi ya watu na mali ndani yake. Kisheria matendo ya aina hii dhidi ya ndege, mizigo au maabiria zake huitwa pia uharamia.

Katika historia maharamia wamejulikana tangu habari za kwanza juu ya usafiri kwenye bahari. Kati ya habari za kwanza ni zile kuhusu maharamia kwenye Mediteranea mnamo karne ya 13 KK.

Julius Caesar alipokuwa kijana alikamatwa na maharamia akaachichwa nao baada ya malipo ya ufidiwa mkubwa lakini baadaye akarudi akalipiza kisasi na kuwaua maharamia.

Siku hizi eneo lenye uharamia mbaya ni Indonesia lakini ni hasa maharamia wa Somalia walioonekana sana katika habari tangu mwaka 2008.

Wakati mwingine maharamia walitawala pia maeneo ya mabandari walipokuwa na kimbilio chao kama dola-mji. Mfano mashuhuri wa madola haya madogo ilikuwa jamhuri ya Bou Regreg katika Moroko ya leo wakati wa karne za 17-19. Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA